ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Atawika tu yule ni mfungaji goli analijua
Habari zinazoripotiwa na vyombo mbalimbali wakati huu zinadai yule mshambuliaji hatari wa Borrusia Dortmund ya ujerumani ametua rasmi Man City.
Amesaini mkataba utakaomuweka Etihad mpaka mwaka 2026 huku ikitajwa atapokea kiasi cha £375,000 kwa wiki na kumfanya awe sawa na kiungo De Bruyne anayepokea kiasi kama hicho.
Man City wamempata baada ya kutoa kiasi cha £ 63 milioni kilichowekwa kwenye mkataba wake na Dortmund kwa timu ambayo ingemtaka. Sasa ni suala la kusubiri tuone kama atawika kama alivyofanya akiwa ujerumani.
Mfano wa hiki ulichoandika hapa ni Ile game ya Man City vs Liverpool nusu fainali ya FA.Upo sahihi kaka....ukitaka uujue moto wa Guadiola wa city heb tazama city akiwa katangulizwa goli 2 bila sasa zile harakati zao za kusawazisha na kutafuta ushindi ndo utashangaa jamaa wanapiga ule msako wa panya road....mara wanasawazisha afu wao ndo wanashinda[emoji23]
Kamfanya Foden amekuwa mchezaji mkubwa duniani, wakati wale kina Rashford ndio wanapotea kabisa.Waulize United,, na kikosi chao kwa nin washindwe kuingia even top four,,
Guadiola ni king of tactics,,
1)kaichukua city ambayo hata rlkuingia robo fainali ilikua ni mtihani,, lakin toka aingie etihad, suala la robo final ni constant kama pie kwa city
2) Hana natural striker , namba 9, amewatumia wachezaji waliopo ambao kiasili ni attacking mildifilders kama false 9 na kila mmoja anafunga vizuri tu
3) Ni bingwa wa kutengeneza wachezaji na kulea vipaji vyao, mfano mtu kama phill foden, Zincheko,, angalia namna vijana wanapiga kazi chini ya Pep!
Huyu kocha ni moto wa kupashia joto miles za kutosha,, huwezi mfananisha na makocha wengine, anaplay attaking football ambayo ina lmvuto kutaza,, huwezi choka kuangalia game za city
nionyeshe kocha anayecheza mwenyewe uwanjaniNdiyo maana nasemaga ubora wa Guardiola unabebwa na wachezaji
kabisaWaulize United,, na kikosi chao kwa nin washindwe kuingia even top four,,
Guadiola ni king of tactics,,
1)kaichukua city ambayo hata rlkuingia robo fainali ilikua ni mtihani,, lakin toka aingie etihad, suala la robo final ni constant kama pie kwa city
2) Hana natural striker , namba 9, amewatumia wachezaji waliopo ambao kiasili ni attacking mildifilders kama false 9 na kila mmoja anafunga vizuri tu
3) Ni bingwa wa kutengeneza wachezaji na kulea vipaji vyao, mfano mtu kama phill foden, Zincheko,, angalia namna vijana wanapiga kazi chini ya Pep!
Huyu kocha ni moto wa kupashia joto miles za kutosha,, huwezi mfananisha na makocha wengine, anaplay attaking football ambayo ina lmvuto kutaza,, huwezi choka kuangalia game za city
Kipara ngoto janja janja hamna kocha paleNdiyo maana nasemaga ubora wa Guardiola unabebwa na wachezaji
sasa kwa nini wachezaji wengine hawafungi? kila siku yeye tu ndio anafunga?Haaland ni mchezaji wa kawaida mno magoli ambayo anafunga ata john boco angeweza kufunga kwa uingereza atashononga mno
Kwanza amezoea kucheza namba moja tu pili hana msaada timu ikiwa haina mpira
kama walipokiputa na madrid nusu fainali. Umesema kweli?Upo sahihi kaka....ukitaka uujue moto wa Guadiola wa city heb tazama city akiwa katangulizwa goli 2 bila sasa zile harakati zao za kusawazisha na kutafuta ushindi ndo utashangaa jamaa wanapiga ule msako wa panya road....mara wanasawazisha afu wao ndo wanashinda😂
Yaani hujui kwanini Salah alisema vile?Hiki ndicho ninachoamini, Guardiola UEFA amekosa bahati tu, kwasababu mpira mwingi anao na hata wapinzani wake huwa hawana hamu ya kukutana nae, mfano Salah alisema wazi anapenda final kucheza na Real Madrid lakini sio Man City.
Wachezaji walewale? Uliangalia mpira kweli wewe?Mfano wa hiki ulichoandika hapa ni Ile game ya Man City vs Liverpool nusu fainali ya FA.
Mpaka half time Man City alikuwa ameshakufa 3-0 kwa kile kikosi dhaifu alichopanga Guardiola sababu ya majeruhi waliosababishwa na game ngumu ya UEFA dhidi ya Atletico Madrid.
Lakini kipindi cha pili, wachezaji walewale waliuwasha moto magoli yakaanza kurudi bahati nzuri kwa Liverpool nafasi aliyopata Jesus alishindwa kuitumia, ile game ndani ya 90 minutes ingeisha 3-3.