Waulize United,, na kikosi chao kwa nin washindwe kuingia even top four,,
Guadiola ni king of tactics,,
1)kaichukua city ambayo hata rlkuingia robo fainali ilikua ni mtihani,, lakin toka aingie etihad, suala la robo final ni constant kama pie kwa city
2) Hana natural striker , namba 9, amewatumia wachezaji waliopo ambao kiasili ni attacking mildifilders kama false 9 na kila mmoja anafunga vizuri tu
3) Ni bingwa wa kutengeneza wachezaji na kulea vipaji vyao, mfano mtu kama phill foden, Zincheko,, angalia namna vijana wanapiga kazi chini ya Pep!
Huyu kocha ni moto wa kupashia joto miles za kutosha,, huwezi mfananisha na makocha wengine, anaplay attaking football ambayo ina lmvuto kutaza,, huwezi choka kuangalia game za city