Mshambuliaji kutoka Norway ambaye anakipiga katika club ya Manchester city ameanza kwa kutupia magoli mawili dhidi ya team ngumu ueingereza westham,huku akiwaziba mdomo wote walikowa wanasema anaenda kuflop ..,haaland ameonekana Yuko sharp na anajua kujipostion katika nafasi sahihi ,...
Na msimu huu halaand anaenda kuwa top score wa league ya uingereza kwa kufunga magoli zaidi ya 30+ goal .