kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Leo Haaland kafunga hat-trick, kuna timu kati ya hizi mbili, Ruvu Shooting na Al Hilal.
Kuna moja watapigwa hat-trick na Mayele, kama sio Ruvu basi watakuwa Al Hilal, ila zaidi sana ni Al Hilal.
Hkuna kitu kwasasa kinachompa jeuri Fiston kama kumlinganisha na Haaland.