nyagambaya
New Member
- Apr 25, 2013
- 2
- 0
jaman nahitaj msaada nina mtoto mmoja ila matiti yangu yamelegea sana kiasi kwamba nakosa uhuru wa kufanya mapnz napokutana na mwanaume huwa cvui nguo yangu ya juu kuofia kuyaona matiti yangu naomben nisaidien kupata dawa ya tatizo langu nahadhilika sana sina aman kabisa