Habar

Habar

Habar zenu wana JF,mimi ni member mpya naombeni ushirikiaono wenu.

Nzuri karibu sana swala la ushirikiano lisikupe taaabu sana tupo mama. Ukiwa na swali usisite kuuliza utajibiwa haraka sana ndo JF tulivyo.
 
Habar zenu wana JF,mimi ni member mpya naombeni ushirikiaono wenu.
Aaaah Bety, kumbe ni member mpya !! Ila inaelekea you're a fast learner, kwani umezimudu baadhi ya features za JF na kuanza kuzitumia kwa haraka. I think unakumbuka just few minutes ago tumekutana nawe 'kule', na nimekupata vizuri, ila mwambie jamaa aturudishie ile link !!
 
Back
Top Bottom