Habari gani wana Jf...

Habari gani wana Jf...

Inqusitor

Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
29
Reaction score
8
Hii ndo zawadi kubwa niliyoweza kujipa mwenyewe katika tarehe yangu ya kuzaliwa siku ya leo..Hellow JF members.
 
Happy birthday na karibu sana jamvini.
 
Karibu besdei baby. Ngoja Mtambuzi akiamka atakuletea keki, he is your twin anamalizia hangover ya sherehe ya jana. I'm his daughter.
 
Last edited by a moderator:
Asante King'asti..Nimefurahi kupata twin huku.so wewe nitakuita nani??haha
 
Back
Top Bottom