Habari hii haijawahi kuchuja na haitokuja kuchuja kamwe!!

Habari hii haijawahi kuchuja na haitokuja kuchuja kamwe!!

Loh nimecheka sana. Hopefully mission yao ilifanikiwa
Nimecheka zaidi walipikamatana kufanya hayo mazoezi yao ya sijui ni judo au karate au kungfuu au ndiyo taichii ya Jet Lee 😃😃😃, ukiitazama vizuri inataka kuwa kama mieleka 😆😆😆
 
Back
Top Bottom