Habari hii haijawahi kuchuja na haitokuja kuchuja kamwe!!

Nimecheka zaidi walipikamatana kufanya hayo mazoezi yao ya sijui ni judo au karate au kungfuu au ndiyo taichii ya Jet Lee 😃😃😃, ukiitazama vizuri inataka kuwa kama mieleka 😆😆😆
JUDO Ndio ambao sehemu kubwa ya mchezo huo ni kuangushana miereka.
 
Nimecheka zaidi walipikamatana kufanya hayo mazoezi yao ya sijui ni judo au karate au kungfuu au ndiyo taichii ya Jet Lee 😃😃😃, ukiitazama vizuri inataka kuwa kama mieleka 😆😆😆
Huyo mbakaji atakipata cha mtemakuni
 
Back
Top Bottom