Habari hii haijawahi kuchuja na haitokuja kuchuja kamwe!!

Iwe bojo🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Loh nimecheka sana. Hopefully mission yao ilifanikiwa
Nimecheka zaidi walipikamatana kufanya hayo mazoezi yao ya sijui ni judo au karate au kungfuu au ndiyo taichii ya Jet Lee πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, ukiitazama vizuri inataka kuwa kama mieleka πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…