The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru na Habari leoUhuru mbona wamepoa hivo 😛😅
Ima maana HbariLeo na Uhuru wao hawajasikia wala kushuhudia habari ya Tundu Lissu? Hivi haya magazeti ni akina nani wanaoyanunua?
Hii habari inawauma sana Utopolo. Wanatamani wasage chupa wanyweFaldu : yoyote atakaekuja cafcc tunae dadeki🤒
😂😂Hii habari inawauma sana Utopolo. Wanatamani wasage chupa wanywe
Habari kubwa ni Lissu Mwenyekiti Chadema ila kuna magazeti yameiweka kwa ufinyu, CCM wana matatizo sana.
yanamuona lissu ni mpinzani waoIma maana HbariLeo na Uhuru wao hawajasikia wala kushuhudia habari ya Tundu Lissu? Hivi haya magazeti ni akina nani wanaoyanunua?
wahariri wake wana hofu ya kupoteza kibaruaIma maana HbariLeo na Uhuru wao hawajasikia wala kushuhudia habari ya Tundu Lissu? Hivi haya magazeti ni akina nani wanaoyanunua?
Halafu haya magazeti hayatengenezwi kwa sababu ya biashara bali ni kwa ajili propaganda za CCMwahariri wake wana hofu ya kupoteza kibarua
Wana utindio wa ubongoHabari kubwa ni Lissu Mwenyekiti Chadema ila kuna magazeti yameiweka kwa ufinyu, CCM wana matatizo sana.
Uhuru la CCM Habari leo la serikaliHalafu haya magazeti hayatengenezwi kwa sababu ya biashara bali ni kwa ajili propaganda za CCM
Yote ni kama ya CCM tu mkuu.Uhuru la CCM Habari leo la serikali