The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajira zimekua chagamoto kweli waalimu laki mbili kugombania ajira 14,000 tu, hapo kuna tatizo kubwa hi nchi inakabiliana nalo.
Maji kupwaUchumi wa zenj umepaishwa na Tanganyika, mama mi5 tena hongereni malofa!!.
Na ni kila mwaka walimu wapya wanazidi kuhitimuAjira zimekua chagamoto kweli waalimu laki mbili kugombania ajira 14,000 tu, hapo kuna tatizo kubwa hi nchi inakabiliana nalo.