Habari kubwa za magazeti leo Januari 12, 2025, Zaidi ya walimu laki mbili kuwania nafasi za ajira elfu kumi na nne

Ajira zimekua chagamoto kweli waalimu laki mbili kugombania ajira 14,000 tu, hapo kuna tatizo kubwa hi nchi inakabiliana nalo.
Na ni kila mwaka walimu wapya wanazidi kuhitimu
 
Safi Mama Samia wanaendelea kupungua angalau kidogo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…