Habari kutoka Peru!!! :)

alfie1990

Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
7
Reaction score
0
Habari njema?

Jina langu ni Alfredo, natoka Peru (South America) πŸ™‚.
Ninajifunza kiswahili, tena nawaza kwamba forum hii ni nzuri sana!! naweza kusoma sana!!
Najifunza ushauri katika chuo kikuu hapa.... tena najifunza lugha nyingi πŸ™‚ (lugha 13) πŸ˜€

Hmm...Huyo tu!!! Natarajia kukutana na watu wengi, "wapoa"... na kadhalika...

Bye πŸ™‚
 
Karibu sana katika JF.siku ukipata nauli ya kuja TZ ndo utaweza kufaidi vema Lugha ya Kiswahili.Karibu sana.
 
Mkuu ulipojisajili kidogo nikufungie... Nilihisi ni spammer; ila kimachale nikakuruhusu tu. KARIBU SANA JF. Ukiwa hapa taratiobu utaki-master kiswahili vema tu. Tunajitahidi sana kutumia kiswahili zaidi. Ukishindwa kutumia kiswahili wewe uliza nasi tutakusaidia.

Karibu sana
 

Asante sana πŸ™‚
 

KAZI HIPO , HICHO KISWAHILI CHAKO MWALIMU,

karibu sana Alfredo
 

sasa mwalimu wa kiswahili mtarajiwa ndo unachanganya hivyo?????? si ataogopa hata kujifunza akifikiri ni kigumu sana ama ni useless manake kama waswahili wenyewe hawakijui vizuri itakuwaje kwa wanaojifunza ukubwani??????????

KAZI HIPO , HICHO KISWAHILI CHAKO MWALIMU,

karibu sana Alfredo


umenifuahisha mzee. tienzi jamani lugha yetu miongoni mwa wageni kwani wao mbona wanaipenda na kuienzi???

kuna hatari siku moja alfredo akazungumza kiswahili kizuri na fasaha kutuzidi sisi wazawa wa kishwaili. wakati sie tunaiona haijitoshelezi, wao wanajifunza misamiati yote, hawaachi kitu. kuna siu tutakuwa tunamuuliza alfredo maana ya msanmiati uliotushinda................................
 
Karibu, natamani siku moja nije nchi yoyote ya South America,

kwa haraka nikataka nijue habari ya mji wenu mkuu yaani Lima

nikatype neno lima kwenye google na nikaenda kwenye image

zikaja picha nyingi sana lakini ikaona ni tofauti kidogo ebu angalia mwenyewe link hii

http://images.google.ca/images?hl=en&source=hp&q=Lima&oq=&um=1&ie=UTF-8&sa=N&tab=wi

kwa nini? mpaka ukurasa wa tano

Nilitegemea ningeona kama hivi (Rio de Janeiro)

http://images.google.ca/images?hl=en&um=1&sa=1&q=rio+de+janeiro&aq=0&oq=rio+de+jan&start=0

Karibu
 

Mh! Invisible,mbona huyu mshikaji kama vile anatokea Marangu au kule Usagara?
 
Karibu, kisiwa cha amani barani Afrika na dunia kwa ujumla. Karibu Tanzania muungwana Alfredo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…