Habari njema?
Jina langu ni Alfredo, natoka Peru (South America) 🙂.
Ninajifunza kiswahili, tena nawaza kwamba forum hii ni nzuri sana!! naweza kusoma sana!!
Najifunza ushauri katika chuo kikuu hapa.... tena najifunza lugha nyingi 🙂 (lugha 13) 😀
Hmm...Huyo tu!!! Natarajia kukutana na watu wengi, "wapoa"... na kadhalika...
Bye 🙂