Habari kutoka redio mbao

Habari kutoka redio mbao

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ni kuwa tumekatazwa kumtaja Tundu Lissu kwani kila linalosemwa juu yake hulijibu siku hiyo hiyo na majibu yake yanaichafua serikali.

Sasa hivi tuna Kiu sana ya kufahamu harakati za upinzani katika uchaguzi. Hasa ile tsunami aliyoitaja Lissu haitupi usingizi Wengi wanaokubalika katika jamii tumewavuta kwetu.

Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.
 
Ni kuwa tumekatazwa kumtaja Tundu Lissu kwani kila linalosemwa juu yake hulijibu siku hiyo hiyo na majibu yake yanaichafua serikali.

Sasa hivi tuna Kiu sana ya kufahamu harakati za upinzani katika uchaguzi. Hasa ile tsunami aliyoitaja Lissu haitupi usingizi Wengi wanaokubalika katika jamii tumewavuta kwetu.

Susumu fikra za mwenyekiti wa chama.
Wewe sio female ni dume umejificha Nyuma ya keyboard
 
Ni kuwa tumekatazwa kumtaja Tundu Lissu kwani kila linalosemwa juu yake hulijibu siku hiyo hiyo na majibu yake yanaichafua serikali.

Sasa hivi tuna Kiu sana ya kufahamu harakati za upinzani katika uchaguzi. Hasa ile tsunami aliyoitaja Lissu haitupi usingizi Wengi wanaokubalika katika jamii tumewavuta kwetu.

Susumu fikra za mwenyekiti wa chama.
CHADEMA ni imara zaidi bila LOWASSA
 
Mkuu harakati za Lissu zinatunyima usingizi.
"Tunavo ishi kitaanai na kama tuko vitani
Sasa tia maanani kama uko hatiani
Tuta wachapa bakora mpaka mshindwe kutoka ndani
Mwende polisi au hata mahakamani, siwezekani
Msiji fanye jeuri mkataka kuleta kiburi
Adhabu mtakayo pata haiko mbali na kaburi kwa kifupi,
Mkipanda chuki mtavuna kipigo
Unyama unyama mbali na maini hamna figo...
 
buji wa Ryhmes😊
 
He! Bujibuji ni msanii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You being the first to be the waste. How can you ask someone about his or gender in this forum? Bogus question and shite ideas.
Ask questions with the intent of clarifying your understanding..Is not a crime?
 
Back
Top Bottom