Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni kuwa tumekatazwa kumtaja Tundu Lissu kwani kila linalosemwa juu yake hulijibu siku hiyo hiyo na majibu yake yanaichafua serikali.
Sasa hivi tuna Kiu sana ya kufahamu harakati za upinzani katika uchaguzi. Hasa ile tsunami aliyoitaja Lissu haitupi usingizi Wengi wanaokubalika katika jamii tumewavuta kwetu.
Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.