Habari kutoka redio mbao

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Baada ya kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara kutoka kwa immune system ya mwili mzima. Wabaya wake kumbe wanamsubiri kwenye shingo.

Ni lazima shingo ipitishe muakilishi kwenda kichwani. Huku kwenye shingo kuna wanaomtaka muakilishi kutoka maeneo ya figo. Ujio wa yule elderly ni kuishawishi mirija ya shingo imruhusu Angela aende kichwani.
 
Umeanza lini roho ya ubinafsi dada? Why hutaki tuelewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibi kwani jana usiku ilikua zamu ya Sakayo kulala na babu Asprin? Maana daaahhhh sio kwa hii mipichapicha uliyoamka nayo, inawezekana kibaridi cha jana usiku kimechangia kuamka na hii hangover ya codes zote.

Maendeleo hayana chama
 

Dada yangu; hiki sio kizazi cha kuwatungia nyimbo kama "Mzee Morris na Bwana Gerald" ya Marijan Rajab, hawa wanataka "Nyegezi".
 
Sioni ni kivipi ccm wataleteana mtimanyongo. Nafikiri ndiyo maana wamesurvive kwa muda mrefu.

Ccm ya zamani ilikuwa pamoja kutokana na absolute authority chini ya mtu mmoja. Kila mtu alikuwa rewarded somehow (unaikumbuka kauli hii: "kama wamelikosa hili basi watapewa jingine, tushikane tuwe wamoja"?). Absolute single authority imekuwa inapoteza nguvu kila awamu mpya ikija, na aliepo leo hana (japo anaamini kuwa anayo). Ccm wana dilema ya wanaume wawili wanaomgombea mwanamke mmoja, nani atakuwa tayari kumwachia mwenzake?
 
Acha kabisa.... Big up sana what an amazing fasihi...!!!! I mean fasihi ile ya literature!!!!

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…