Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...Baada ya kujiimarisha na kujihakikishia ngome imara kutoka kwa immune system ya mwili mzima. Wabaya wake kumbe wanamsubiri kwenye shingo.
Ni lazima shingo ipitishe muakilishi kwenda kichwani. Huku kwenye shingo kuna wanaomtaka muakilishi kutoka maeneo ya figo. Ujio wa yule elderly ni kuishawishi mirija ya shingo imruhusu Angela aende kichwani.
#2020TWENDENAMEMBE#[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app