Habari kutoka redio mbao

Dah...
#2020TWENDENAMEMBE#[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Figo = KOROSHO !!! haya endeleeni nisije nkawamezea ninyi kizazi ambacho hamkusoma mashairi ya saadan, kitabu cha kusadikika na ninyi ambao mmerahisisha mashairi ambayo hayana vina wala mizani, kutwa kuccha mnasoma hadithi za shigongo na kuangalia movie za akina kanumba.
 
Write your reply...unaandika codes halafu unatumia fake ID yaani it doesn't make sense
 
Siasa ni kama mchezo wa draft mbali na kutumia kete zako lazima ujue adui yako anawaza nini na anaweza kutumia kete zipi, timing pia inaitajika kuweza kutumia kete za adui yako kabla hajazitumia kukuangamiza, hivyo anko alimuitaji ed na mwingine asie na wadhifa au ana wadhifa invisible ili wasitumiwe na kambi pinzani ndani ya chama kitukufu, vinginevyo mtukufu anko atavunja recod ya kutawala muongo mmoja, so mambo yawe sawa ni kujenga urafiki na rafiki wa adui yako ili adui awe karibu kumdefeat. Na urafiki wao sio wa kununuliana kikombe cha kahawa au ule urafiki wa Boyz 2 men, Bali urafiki wao ni wa kukaa kwenye system mda mrefu ndani ya chama, Kwa uhusiano huu ni raisi kumnunua mmoja alafu mwingine awe sadaka Kwa tamaa yake, mana naye akianzisha safari ya ma hope 2020, tutajuwa tumembana angle zote automatic atashindwa na atapita njia ile ile"Nimerudi Nyumbani" Game Over.
 

Nimekusoma madam.

Big up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…