Habari kutoka redio mbao

Ukimuangalia Malaika Kwa jicho la pekee. He, himself, ni muoga hana uwezo wa kusimama kwenye ulingo wa siasa ziwe za ndani au za kimataifa, ndio maana ana burst na kukurupukia mambo yakigoma anakuwa kimya kama sio yeye. Ili la Kissu nyikani linamnyima kweli usingizi ila lipo nje ya uwezo wake, hana pa kutokea, ndo mana anaamua kushika hapa na pale, kukuza mambo, kujisafisha ili a destruct attention kule nyikani, all in all 2020, kuna mengi yatatokea. Stay tuned
 
Mkuu mburushi inawezekana ameitwa kudhibiti mikeke ya kisu kwani yule ana International kipirience.
 
Madame kote huko nimeelewa ila kwa Angela bado umeniacha au anataka kufanywa kama mgombea makamu wa Rais maana nahisi kule kwenye serikali ya mapinduzi ya zanzibar, Samiah suluhu anaweza akasimama kama mgombea rais kwa tiketi ya CCM.

Umakamu wa Rais kwa bara Angela kairuki akasimama badala ya samiah suluhu.

Au napo fikra zangu zinanidanganya...
 
Madame kote huko nimeelewa ila kwa Angela bado umeniacha au anataka kufanywa kama mgombea makamu wa Rais maana nahisi kule zanzibar, Samiah suluhu anaweza akasimama kama mgombea rais.

Au napo fikra zangu zinanidanganya...
Angela angel malaika
 
Huko kwa shingo kaweka nyama zake, yaani shingo yote imejaa nyama na misuli zake. Nashangaa damu itaruhusiwa vipi kupenya hadi kichwani bila idhini ya shingo. Its still tough, unless kule idodomya kuwe na mijadala kamambe ya kubadilisha makaratasi ili shingo isiwe inageukia upande wa nyasi za kijani tu.
 
Sio kila kitu ni lazima uelewe.. Nimechagua kutouchosha ubongo
 
anjela si aliwahi kusema yeye hajawekwa na wamachinga?? kama kuna mmachinga alietoa sadaka anyooshe mkono?! na hakunyoosha hata mmoja....hiii ilinifanya nishangae sana kumuona mtu mweupe
 
anjela si aliwahi kusema yeye hajawekwa na wamachinga?? kama kuna mmachinga alietoa sadaka anyooshe mkono?! na hakunyoosha hata mmoja....hiii ilinifanya nishangae sana kumuona mtu mweupe
Yaap, ndio siasa, si kila mtu unamuitaji kila wakati (hata wapiga kura huwaitaji mda wote), kuna watu utawaitaji kwa mission maalum, kuna wengine utawa detain ili mambo yaende. n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…