Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000

Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA, TRY AGAIN, MAGORI MUNGU ATAWALIPIA TU SHENZI ZENU

breaking news.JPG
DESIRE.JPG
 
Haya hongereni, tukutane mwisho wa ligi
 
DADA anasikilizia hela kweli au anachezea vikoba?
Wamebaini washabiki wa simba akili zao ziko kama za kuku kuwa wanasau upesi vipigo na mipapaso toka kwa timu zilizo serious kiuwekezaji kama Yanga n.k.
Huenda msimu huu niishabikie simba ipasavyo kama wachezaji wenyewe ni akina Dejan na Kyombo
 
Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.

Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
 
Hii issue kama ni kweli basi wananchi tutazidi kujiimarisha zaidi.
 
Elimu ni shida sana,habar ulioinukuu inasema "Yanga read to pay" Ila ww kwenye tafsiri yako ya mchongo unasema "confirmed and case closed" Hatari hiiii sijui unaumia nn kuhus simba
 
Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.

Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.
Mkuu acha kulalama hata ulaya mbona wanazidiana mpunga mchezaji anapita hivi.
 
Back
Top Bottom