njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
DADA anasikilizia hela kweli au anachezea vikoba?Simba msimu huu hata singida big star atakuwa juu yetu kwa jinsi vikosi vilivyo
Wamebaini washabiki wa simba akili zao ziko kama za kuku kuwa wanasau upesi vipigo na mipapaso toka kwa timu zilizo serious kiuwekezaji kama Yanga n.k.DADA anasikilizia hela kweli au anachezea vikoba?
Mkuu acha kulalama hata ulaya mbona wanazidiana mpunga mchezaji anapita hivi.Kwa hili naunga mkono uongozi wa Simba. Siwezi walaumu kwa ujinga unaofanywa na Viongozi wa Yanga kushindania kunyang'anya wachezaji for cheap popularity. Ina maana hawana scouts wa kutafuta wachezaji? Wakiona Simba wanamuwania mchezaji na wao wanakatiza! Kupoteza zaidi ya mil.400 kwa ajili ya kukomoa timu nyingine? Huu sio utani nali ni ujinga.
Mwache aende
..Simba ni zaidi ya jina lake.