Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

Punguza mihemko.
 
Si tulikubaliana kuwa vyura fc walikaushwa kibubu chao na Aziz Ki hadi wakakosa pesa ya prisizon! Imekuwaje tena sasa jamani....
 
Yanga wameshamchukua subiri saa tano leo
 
Si mlisema hela zote kachukua aziz ki..... mpaka timu ikashindwa kwenda mechi za maandalizi nje ya nchi..... sasa hizo za kumnunua manzoki zimetoka wapi tena???
 
AMEGOMA !!

JOHN MIKEL OBI akitokea timu mojanya Norway akasajiliwa na MAN UTD lkn mchezaj alikuwa na mapenzi ya kwenda CHELSEA. Basi akalalamika pale FIFA waka shauriana na Man Utd John Mikel.akatua Chelsea ....

Mdivyo ivyo Manzoki kitamtokea
 
Suala la huyu Manzoki, ni bora liwe clearly,
Tumeshachoka heka heka hizi lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…