Habari kwa Picha

Leo nliamua nichukue sh 30000 kwenye pochi yangu ili nikanunue mitoko mnadani nkapanda baskeli yangu nikashika njia lkn nlipofika nkashuka nkaanza kuikokota baada ya kupiga kama tambo 50 ndani ya mnada huo mara ghafla nkashangaa mzee mbele yangu akashika bike yangu ikapelekwa zilipokuwepo bike nyengine kumbe ile sehemu huwa ni ya parking ya bike.

Kufika pale naanza kuambiwa soma hicho kibao kukisoma "kimeandikwa ni marufuku kupita na bike kwenye mnada faini 10000".

Nikaanza kuwaomba msamaha coz nlikuwa sifahamu na ni mgeni kwanza mkoa huu me nshagazoea mwanza sizani kama pale sabasaba wanasheria kama hii.. Lakini wakati naingia sikuona kibao chochote cha onyo na nikajiuliza kwann wasikae zile sehemu za kuingilia ili mtu akija tu kama anabike wanamwambia hapohapo anapaki.

Lakini mwishowe nliona isiwe tabu nkawapa. Nachotaka kujua hapa hii sheria ipo kwenye katiba? na ni kwa mamlaka gani inafanya kazi? na hiyo faini ni halali? coz walivyoandka kwenye daftari ni sh 4500 wkt ni buku kumi walinitoza..!
nakutaka!
 
Ni kaka yangu ninaye mfuata kwa mara ya tano. tulitofautiana tangu mwezi wa sita mwaka huu kutokana na kushindwa kutimiza ahadi ya kumpatia pesa ya mradi wa kufuga ng'ombe wa maziwa.
Nikiwa likizo ya desemba mwaka jana kaka yangu huyo alinipa wazo hilo katika mchanganuo wake alisema anahitaji kiasi cha milion 3 na laki tisa kukamilisha kila kitu. Nili haidi kuchangia sh. milioni 1 na laki 5 kwa kipindi cha miezi mitano ya mwanzo ya mwaka huu. Ahadi hiyo ilitokana na matumaini ya barua ya kupandishwa daraja la mshahara wangu (mimi ni mtumishi wa halmashauri idara ya afya) kiasi kilicho oneshwa kwenye baruwa hiyo kingeniwezesha kutekeleza ahadi yangu kwa kaka, lakini la kusikitisha ni kuwa tangu nipokee barua ile, novemba mwaka jana sijaona badiliko lolote la mshahara wangu na hivyo kushindwa kutekeleza ahadi hiyo. wenzangu sita nilio pokea nao barua ni wawili tu walio badilishiwa mishahara na mwezi wa tatu watumishi wengine walipewa baruwa zenye kuwapandisha madaraja pasipo mishahara kubadilika.

Ndugu zangu kushindwa kutimiza ahadi ile kaka yangu hakunielewa hasa pale nilipo punguza kiasi kidogo cha pesa nilicho kuwa namtumia kusapoti vijana wake wanao soma (mwanzoni aliweza kusomesha vijana wake kwa kulima pamba ambayo bei yake kwa sasa imeshuka na haitabiliki), nilipunguza msaada huo kwani nami humo katikati nilianzisha familia yangu.

Juzi nilikuwa kijijini kumsalimia mametu, nilikuta kakangu kanishitaki kwa mama jinsi nilivo mdanganya, kakangu ni mtu anaye aminika sana na ni kiongozi wa ccm, nyumbani kapamba bendera za kijani za kutosha. mama alinieleza malalamiko yale nikawaeleza jinsi selekali ya ccm ilivyo tutapeli,jinsi tunavo lishwa ugali kwa picha ya samaki, niliwaonesha na baruwa ile yenye figure ambazo sikuwahi kupokea. nili mwambia kaka yangu kwa kuikumbatia ccm ndo anakuza matatizo haya, nilimweleza jinsi selekali ilivyo na wajibu wa kumtafutia soko zuri la pamba yake hivyo tupambane kwa pamoja kuiondoa serekali ya ccm inayo tuhujumu. nime mweleza wazi kuwa sitaweza kumsaidia hasa akiendelea kuikumbatia ccm. Barua ya kupanda daraja ilimgusa sana, hadi akaniuliza kuwa nimecheleweshwa kwa muda gani nikamwambia asome tarehe kwani hadi sasa salio linasoma la zamani,akatikisa kichwa akiashiria kusikitika. Jana jioni nimepokea taarifa kuwa bendera zote pale nyumbani kazishusha!.

Natoa rai kwa watumishi wengine wa idara zote wanao lishwa ugali kwa picha ya samaki, ambao hawajapanda daraja ingawa sifa za kupanda wanazo (maana hata baruwa ya kupanda daraja hadi itoke ni mbinde) wawaelimishe wategemezi wao jinsi serekali ya ccm inavyo sababisha bajeti zao kuwa ngumu, wawaambie kwa vielelezo kama vipo wataeleweka zaidi, wawaeleze chanzo cha tatizo kilipo nao watawaelewa.
Huku hakuna povu mkuu, maji yana chunvi sana atii!
 
mwanamke mdukuzi.. hivyo sikufai..?
 
Jukwa hili halina povu mkuu maji ya chumvi povu halitoki atiii
 
Tukipata vijana kama wewe vijijini fisiemu hatokaa madarakani tena
 
Ikiwa ni siku ya 4 tangu tuanze mwezi wa 10, wa2mishi wa selikali hapa wilayani wanaendelea kupitia hali ngumu ya maisha kwani mishahara ya mwezi jana haijatoka! na hakuna sababu ya msingi iliyotolewa na wahusika. Swali, je, sababu ya kuchelewa mishahara inahusiana na harakati za kisiasa hapo wilayan?
Jukwa hili halina povu mkuu maji ya chumvi povu halitoki atiii
 
KINACHOSEMWA, Juventus wana mpango wa kumteua Didier Deschamps kuwa kocha wao mpya mwisho wa msimu huu huku ikiaminika jambo hilo linaweza kuleta ushawishi wa kumng’oa kiungo Paul Pogba Manchester United.

Massimiliano Allegri amekuwa na mafanikio makubwa huko Juventus akibeba mataji manne ya Ligi Kuu na mengine ya ligi za ndani tangu mwaka 2014, lakini msimu huu mambo yake si mazuri ametupwa nje kwenye Coppa Italia huku akikabiliwa na mlima mrefu wa kuyapangua mabao mawili aliyofungwa na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua ya mtoano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
mtata we kiumbe..
 
kuna ujumbe gani unajaribu kuufikisha au umedata hii nini hii.?
 
Hilo povu la siasani, jukwaa hili si la povu mkulu.
Jinsia ya mnunuzi wa kijapani, mahana nili m- perceive kama ke.
 
Kuhusu Serie A, Juventus bado wanaendeleza utawala wao, lakini kitendo cha kumsajili hadi Cristiano Ronaldo ni mahitaji tao ya kutaka kutamba kwenye soka la Ulaya.

Sasa mabosi wa timu hiyo wanafikiria kubadili kocha huko wakiamini kwa kumnsa Deschamps anayeinoa timu ya taifa ya Ufaransa kwa sasa itawasaidia kukamilisha ule mpango wao wa kumrudisha Pogba kwenye kikosi chao.
kuna ujumbe gani unajaribu kuufikisha au umedata hii nini hii.?
 
Yani watu wote hao ndani ya hiyo gari..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…