Habari kwa Picha

chizi
 
Akili unazo ila "unajitia" hazipo ee. Kichwa cha uzi kinasema habari kwa picha na picha nimeweka na habari husika.
Hilo povu la siasani, jukwaa hili si la povu mkulu.
Jinsia ya mnunuzi wa kijapani, mahana nili m- perceive kama ke.
 
Chelsea imemtaja kocha msaidizi wa England, Steve Holland kwamba ndiye atakayemrithi kocha wa sasa, Maurizio Sarri mara atakapotimuliwa kufikia mwishoni mwa msimu.

Kibarua cha kocha huyo kiko kwenye hali mbaya licha ya kuiwezesha Chelsea kufuzu hatua ya 16 Bora ya Europa League, lakini zaidi klabu inadai kuumizwa na matokeo ya kutolewa kwenye Kombe la FA na Manchester United pamoja na kipigo cha mabao 6-0 dhidi ya City.
 
nakupenda
 
Sarri atakuwa kwenye wiki ngumu itakayoamua hatma yake kuanzia leo, kwanza anakutana na kikosi cha Pep Guardiola katika fainali ya Carabao Cup kwenye Uwanja wa Wembly kabla ya kuifuata Spurs mechi ya Ligi Kuu.

Endapo Chelsea itashindwa kuchanga vizuri karata zake, Gazeti la Telegraph liliripoti kwamba mabosi watamuita Holland kuja kuokoa klabu kwa mechi zilizosalia.
nakupenda
 
💘👾
 
Hapa hujaitendea haki title ya thread Numbisa sie wengine wavivu wakusoma mistari zaidi ya miwili.
 
Hata hivyo, Sarri na msaidizi wake, Gianfranco Zola wamepewa muda kujitathmini, lakini Chelsea wenyewe wanamtaka Holland iwapo FA itakubali afundishe timu ya taifa na kuwa na majukumu mengine, Stamford Bridge.
 
Hata hivyo, Sarri na msaidizi wake, Gianfranco Zola wamepewa muda kujitathmini, lakini Chelsea wenyewe wanamtaka Holland iwapo FA itakubali afundishe timu ya taifa na kuwa na majukumu mengine, Stamford Bridge.
Aisee mods huyu mteja wenu ni jini au..?
 
kwenye picha TOYOTA SURF

kwenye maelezo TOYOTA LAND CRUISER


hahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tembo adindishe hapo ndo atajua acholile kachora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…