Gharama zetu ni nafuu sana na zenye ushindani sokoni, na huwa zinategemea ukubwa na aina ya tender unayoomba (pamoja na wingi wa nyaraka zinazotakiwa kuandaliwa).
Hatuna bei moja iliyofungwa kwa sababu mahitaji ya kila kazi yanatofautiana. Ili nikupe ofa nzuri na makadirio ya bei yaliyo sahihi kwa kazi yako, tafadhali nicheki sasa hivi WhatsApp au nifuate DM kwa namba 0753403263 tuongee.