Ashasembeko
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 225
- 910
Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila siku.
Ila kinachosikitisha ni kutumia magazeti haya ya serikali yanayolipiwa kodi na watanzania kwa manufaa binafsi ya Chama tawala. Angalia mfano huu hapa chini. Kwa takribani mwezi mmoja straight, headline ya magazeti haya ya serikali yamemhusu JPM na CCM yake. Je vyama vengine havistahili kupata nafasi hii?
Yule Mkuu wa wahiriri hapa hawezi kuona kuna tatizo, ila TBC wakifukuzwa ndio anakemea. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa hata hivyo vyama vengine wanalipia kodi haya magazeti sa kwanini wasipewe fair coverage?
Ndio maana hayauziki, yaani isingekua kodi za wanachi haya magazeti yangekufa muda sana. Hata wakati wa Kikwete angalau wapinzani walikuwa wanapata nafasi. This toxic, wahariri wajitathmini.
Mifano hii hapa