Habari mbaya kutoka NASA Liverpool kutochukua ubingwa

Habari mbaya kutoka NASA Liverpool kutochukua ubingwa

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Shirika la Anga za juu la Marekani NASA limeweza kuona na kubaini jiwe kubwa asteroid lenye ukubwa kama nch yetu linakuja kwa kasi kuelekea sayari yetu. Kuna uwezekano likagonga dunia yetu na kuleta mtetemeko wa hatarii na kuingilia na kuaribu mipangilio ya kila siku ya maisha ya mwanadamu.

NASA inawasiwasi jiwe hili linaweza kufika orbit ya dunia mwanzoni mwezi wa tatu na kugonga dunia yetu mwezi wa nne.

Ndio najiuliza kila wakati liver inapokaribia kupata ubingwa EPL kuna vizingiti tu. Hivi kwa nini?

Ngusero
 
zaburi 104: 5 Ameiimarisha dunia juu ya misingi yake; Haitasogezwa kutoka mahali pake milele na milele.

mstari huu ni halisi licha ya kwamba uliandikwa maelfu ya miaka iliyopita utaaibika pamoja nao wapuuze
 
Back
Top Bottom