Habari mbaya kwa 2nd year wa udsm-COET.
Habari mbaya kwa 2nd year wa udsm-COET.
Mi nitaanzia nyuma kidogo, inashangaza mwanafunzi anafika chuo kikuu lakini hajui hesabu kama za complex number, MAGAZIJUTO, intregral ndo usiseme kabisa. I was there at COET, intake za siku hizi zinatia aibu sana!! wanafunzi wengi wako chini sana kiviwango!!
I once asked my young brother studying at COET, "How come you finish your PCM in high school bila kujua complex number, integral, Newton Raphson Method etc? He just repplied, " Mwalimu mwenyewe aliyekuwa anatufundisha alikuwa hajui vizuri, kwa hiyo hata kufika chuo nimejitahidi". Nikasema, kumbe ni janga la kitaifa.
If you are teacher/lecturer, you will most of the time speak alone (nikimaanisha no challenges from the students) tofauti na enzi zetu, mwalimu akija shallow aibu atakayoipata hawezi kuja darasani bila kujiandaa. Siku hizi ndo aina ya wanafunzi wengi tulionao vyuo vikuu. Hakuna mategemeo makubwa sana kwani hajawa trained well tokea huko chini.
COET pale wanategemea madesa, mwalimu akiamua kutunga kama sasa walimu wengi ni wageni, basi utegemee hali kama hii!! vitabu vipo library wanafunzi wanasema hawana muda wa kusoma vitabu, so how can someone call himself/herself ni mwanafunzi chuo bila kugenerate ideas kutoka kwenye vitabu? Ndo maana wengi wakishamaliza, hawana hamu ya kuendelea kusoma hizo professionals.
Am sure ur not engineer na mbaya zaid huna hata ndugu wa karibu ambaye ni engineer. kwan kudisco coet kumeanza leo? acha zarau!
siyo mbaya, kuhusu ugumu hakuna ukweli ni kujituma tuu,for my side ugumu upo kwenye Mechanical and electro-mechanical eng.
basi mm niseme ugumu upo kwenye mining eng
basi mm niseme ugumu upo kwenye mining eng
ok but nakumbuka mining ina courses chache kuna semester unakuta mining wana courses sita while mechanical and electro-mech wana mawe kumi, mawe yenyewe (m.e) duu,i will never forget udsm.
Uhandisi wataka kukaza buti, siyo ungwini huo. Na taifa halihitaji wahandisi vilaza hata kidogo wataojenga madaraja na majengo yasiyo na viwango
ok but nakumbuka mining ina courses chache kuna semester unakuta mining wana courses sita while mechanical and electro-mech wana mawe kumi, mawe yenyewe me duu,i will never forget udsm.
dah!!bora ce 2lijtoaga huko cku ming.
hiyo ndio coet vijana wanakula bata na kudesa duu, uhandisi ni kuchimba kila materials sivyo kama wahandisi wa siku hizi wanavyodhani poleni sana! Nawakumbuka sana akina Dr Elias Dr Rajab dr shine Dr mussa.
Hao wote uliowataja hawana faida ya Nchi yetu ya Tanzania. Wanashindwa kuishauri serkali kuhusiana na masuala ya mgao wa umeme pamoja na ukosefu wa maji ni aibu tu.
Ndio maana kazi yao ni kukamata wenzao ili wafiche madhaifu yao.
pole zao ila kufeli shule sio kufeli maisha. Kama udsm mmeshindwa haina maana meshiindwa sua . ifm. au cbe. kajimixini vyuo vingine mtafaulu sana. Mi nakumbuka washkaji waliodisco SUA miaa hiyo walienda kupata 1st class mzumbe.
Mwaka jana same number walidisco. ndio coet hiyo. pia kuna civil kadhaa 3rd yr wamedisco sijajua idadi naomba unipe hiyo data. lakini kunakitu kinatakiwa kufanyika hapo.
ndiyo maana ya kusoma coet, unataka wamalize tu bila kuelewa? inawezekana maprof wamewaengua ili wasije wakatengeneza madaraja yanayoweza kuporomoka hapo badae kama wangewapitisha bila ya kufaulu.....lakini poleni sana kwa wale yaliyowakuta..
Ila udsm noma wakuu..me mwenyewe ingawa ni ngwini bt nimeitwa kucheza mechi ya ngao ya jamii mwezi wa tisa{sup},tofaut na vyuo vngne wa2 wana Ma gpa makubwa.
Hii ndiyo Tanzania yetu. Kuna prof. huku aliwahi kusema kuwa good professionals are not formed by just studying out of powerpoints ambazo ni summary za summary zingine. Maisha ya chuo si mchezo. Kwa namna hii hatuwezi kuendelea maana kwa kusoma MADESA mtu hana confidence ya kujitetea au hata kufanya research hataweza. Kwa level ya high school kwa shule za serikali kweli kuna matatizo ambayo yanaicost Tanzania. Tatizo ni kubwa kiasi kwamba ukiongea na mwanafunzi muda mfupi tu unagundua shule aliyosoma. Tusiwalaume waalimu kila siku maana wao pia wanatafuta pesa kwa ajli ya majukumu ya kifamilia. Tatizo ni mfumo mzima wa nchi inavyoendeshwa.
mi NI MWANAFUNZI WA FORM 1 NACKIA UKIWA UNAPENDA SAANA KUCHEZA DISCO ETI NDO UTADISCO CHUO KIKUU. wangafanya ukidisco chuo vyet vyote vifutwe uanze tena chekechea
Hapo juu mkuu umenikumbusha jambo..nakumbuka wakati mie naingia chuo ulikuwa ni lazima uwe atleast na D mbili lakini juzi nimemshuhudia mdogo wangu ameomba chuo ana point 16 na amepata tena law,nikajiuliza hivi ndo ili wote wasome ama maana halisi ya kufaulu haipo tena,baadae nikajiuliza tena sasa mwenye point hizi nae anaenda chuo kikuu ni nani ataenda dplm ama sasa kwenda dplm ni failurers,sasa frm this point of view you can easily predict the ouputs..poleni sana wana 'application of maths in solving out problems'...this country bwana!!
Upumbavu huu ndo unaopelekea vijana wetu wengi kuikimbia sayansi. What is special in civil or mechanical engineering that is not in Education, sociology or BSc general etc? Kuna kasumba ya kipumbafu sana waliyoijenga some professors, kutafuta kuheshimiwa kutokana na idadi ya disco alizotoa. Kama ningekuwa mimi ndo mwanafunzi wa hapo lazima ningeongoza maandamano kutaka mabadiliko.
Tuache hadithi CoET TATA....PEPA Mnapiga Jpili mwanzo hadi mwisho wa semister at the same tyme maticha wengine wanabana wanataka kufundisha jmosi....! Shule ya CoET hawatest understanding bt claiming capacity....usipoiona test ya nyuma aliyoiokota lect huko anakojua basi ishakula kwako...kiukweli tu maswali mengi tu ya eng km hujawahi liona huchomoki......wamedisco lkn naamini wanaweza,pole zao, siye ngoja tuendelee kukusanya desaa....!
Kweli kabisa kama m2 ana E's flat pcm,ndio anaenda kusoma civil,unategemea nini hapo!yaan umesema kweli kabisa.
mnapotosha jamii nyie mnaosema kuwa wanaofeli ndio wanaenda civil sio kweli hata kdogo mimi na wenzangu wengi tu na one zetu tumesoma civil tena happily,unajua huu upumbavu wa kusema nina one so niende telecomu unaonekana dl utalicost taifa,u hav to read what you love n like and marks za darasa cant make u who you want to be its a mater of you dream and life plans,watu wanaenda kwa kufuata mkumbo,not gud at ol,
Friends kufaulu form six na one si guarantee ya kuendelea kupass chuo mimi nina rafiki yangu kaingia chuo na one ya tano na akadisco,kudisco chuo kikuu kuna lots of factors,mi i thought its good to have a way of training our kids to know what they want to be as for me since o level i made up my mind i want to be an engineer and nothing else but how many kids in ud,know who they really want to be?some people are in the wrong track
Back
Top Bottom