Tuache hadithi CoET TATA....PEPA Mnapiga Jpili mwanzo hadi mwisho wa semister at the same tyme maticha wengine wanabana wanataka kufundisha jmosi....! Shule ya CoET hawatest understanding bt claiming capacity....usipoiona test ya nyuma aliyoiokota lect huko anakojua basi ishakula kwako...kiukweli tu maswali mengi tu ya eng km hujawahi liona huchomoki......wamedisco lkn naamini wanaweza,pole zao, siye ngoja tuendelee kukusanya desaa....!