Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Nmelia sana kutokana na habari hii mbaya..! [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu bana [emoji123] Mimi nami nimefanya utafiti wangu nimegundua wala kiti moto maarufu ukikaa nao darasani HUWASHINDI KWA AKILI [emoji123] ref; Wahaya, Wachaga, Wanyakyusa, na wenyewe shule za seminary za Wakatoliki wanaongoza. Kwa ushindi [emoji106] nenda sasa mikoa ambayo huyo mdudu amepigwa ban utahakikisha utafiti wangu [emoji4]
 
Kweli sheikh wangu..! Ahsante kwa kunifumbua macho..! [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimeshangaa na hii taarifa. Nguruwe anakulaje kinyesi cha binadamu wakati wengi wanaochinjwa kwenye mabaa mabli mabali ni wale wanaofugwa kwenye enclosures???? Au kuna nguruwe wanajitafutia chakula kama kuku? Sijui labda. Ila nimeona taarifa ina walakini kidogo.
 
Tena wameponda sana ya kuchoma, wanasema ina minyooo ambayo haipati motomoto wa kutosha bora kuchemsha na kukaaanga! mie hata wakimdisi simuachi bora tegu ziniue potelea mbali!
 
Hosea 4:6. "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..." Unaleta ubishi kwenye utafiti wa kisayansi, kisa uendelee kula nyama ya nguruwe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui MWENYEZI alipo maliza Uumbaji alisema vyoote ni VYEMA [emoji106] [emoji123] unaangamia kwa kukosa maarifa hadi unawaona watafiti wa sua ni wakweli kuliko MWENYEZI [emoji15] [emoji86]
 
Utoto kweli, yani leo ndio wanajidai wavumbuzi au
 
kufikiri kwa elimu ndogo: hivi inawezekana vipi mnyoo kuweza kuishi kwenye joto kali la moto? kwani nyama hiyo huliwa mbichi? Mtu anaweza kuchochewa na imani yake ya kidini kwa kuwa hali hiyo nyama akaamua kupotosha kwa makusudi.
 
Ni sifuri, inachemshwa ukipewa ile spoku ya kuchagua utajua tu kama haijaiva, alafu wanaipiga kwenye wese na kama unataka rojo wanaipiga tena kwenye sorce, sasa uyo mnyoo ana chomoaje hapo?
Basi upishi wa nyumbani ndio alternative.Ili kusimamia nyama iive vizuri.
 
DUH..........HII KITU HII

IWE NA TEGU AU HATA VIRUSI VYA UKIMWI, NGOMA HAIACHIKI KIRAHISI.
 
hii kitu unakula mpaka unatamani utafune na vidole......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…