Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Ndio utueleze wewe na hao sua wako,watu mwaka wa 37 huu tunakula hii,hatujawahi hata kuhisi kizunguzungu.
 
kuwashauri watu wasile 'mdudu' kisa hayo magonjwa ni kazi bure! watu wanashauriwa wasifanye ngono zembe sababu ya magonjwa lukuki ila ngonoka tu tena ndo tunazidi ongeza matundu ya kuchomekana!
 


Katika utafiti wao SUA wamepata wagonjwa wangapi wanaugua kifafa kutokana na kula aina hiyo ya kitoweo, na ni wapi kuna watu wengi waliotharika. Mfano Dar es salaam kuna watu wangapi wameathirika au wanaugua kifafa ?
 
Msinitibue, nilisha achana na mi broilers, sasa nini tena na huku! Wamesha athirika wangapi mpaka sasa, tuanzie hapo kwanza maana huku ni kuchanganyana sasa.
 
Tafiti za kiAfrika! Waweza mshuhudia mtafiti mwenyewe kachoma kilo mbili za mnyama aliyemfanyia utafiti akifakamia huku akinywa!
Tumeona kwenye utafiti na utoaji hamasa kwenye ukimwi.
Mtu na akili zake, anatafiti huku "anafanya"!
Matokeo yake hawapo hata mmoja, kunafahamika walikokwenda.
Kwanza huo unaoitwa utafiti, si utafiti chochote, kwa kuwa hizo ni "copy" nilishazisoma toka kwenye majarida ya Iran miaka mingi iliyopita. Yeye kaja na minyoo ya tegu pekee.
Wenzie walielezea na kuyachambua magonjwa 40 yatokanayo na ulaji wa nyama ya nguruwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Excellent Watafiti wa SUA,Mngenipa kazi hiyo,Kwa Kutumia Reference ya Biblia, ndani ya Dakika 0 ningewapa majibu.Kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo.Kile alichosema Mungu,Watafiti wanapita mlemle.Sayansi ya kweli haitapingana na Biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika utafiti wao SUA wamepata wagonjwa wangapi wanaugua kifafa kutokana na kula aina hiyo ya kitoweo, na ni wapi kuna watu wengi waliotharika. Mfano Dar es salaam kuna watu wangapi wameathirika au wanaugua kifafa ?
Tafuta ripoti yao uisome.

Hapa imeletwa dondoo tu sasa usikomae kubishana kwa hoja ya kutegemea dondoo.
Ingia tovuti ya SUA angalia contact yao watwangie simu.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Hao uliowataja ndio wengi,waliokamatwa na vyeti feki.Ukiangalia majina 99%,wenye vyeti feki ni majina ya walaji uchafu wa nguruwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…