mbelwaz
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 133
- 121
Uroho tuMkuu SUA imejaza division 3 nyingi ambazo ni rejects ya Mzumbe, UD, Muhimbil hivyo usishangae katika hilo
sent using TV ya chogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uroho tuMkuu SUA imejaza division 3 nyingi ambazo ni rejects ya Mzumbe, UD, Muhimbil hivyo usishangae katika hilo
Hizo takwimu wakikupa nijulisheNi bora hao tegu kuliko kipindupindu,alafu mbona hawatupi takwimu sahihi zinazoonyesha idadi ya watu waliopata minyoo ya tegu kwa kula nyama ya nguruwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Uroho tu
sent using TV ya chogo
Ndio utueleze wewe na hao sua wako,watu mwaka wa 37 huu tunakula hii,hatujawahi hata kuhisi kizunguzungu.Utafiti unapingwa kwa utafiti, sasa unataka kupinga utafiti kwa maneno matupu?
Njoo na utafiti uwapinge SUA.
Kama unaona nyama hiyo ni tamu kwako kula mambo ya SUA yaache na usijitahidi kuwapinga watafiti kwa sababu wamesema yaliyopatikana katika utafiti.
Acha kua mswahili kupita kiasi
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Utafiti unapingwa kwa utafiti, sasa unataka kupinga utafiti kwa maneno matupu?
Njoo na utafiti uwapinge SUA.
Kama unaona nyama hiyo ni tamu kwako kula mambo ya SUA yaache na usijitahidi kuwapinga watafiti kwa sababu wamesema yaliyopatikana katika utafiti.
Acha kua mswahili kupita kiasi
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Ukiniambia nichague kimoja kati ya huyu mdudu na kuingia ahela nachagua huyu mduduWazalendo wa huyo mdudu watamla hivyo hivyo na kifafa chake.
Tena ni uchocheziHuo ni upotoshaji kabisa
baada ya ud, ni sua.Mkuu SUA imejaza division 3 nyingi ambazo ni rejects ya Mzumbe, UD, Muhimbil hivyo usishangae katika hilo
Tafuta ripoti yao uisome.Katika utafiti wao SUA wamepata wagonjwa wangapi wanaugua kifafa kutokana na kula aina hiyo ya kitoweo, na ni wapi kuna watu wengi waliotharika. Mfano Dar es salaam kuna watu wangapi wameathirika au wanaugua kifafa ?
Hao uliowataja ndio wengi,waliokamatwa na vyeti feki.Ukiangalia majina 99%,wenye vyeti feki ni majina ya walaji uchafu wa nguruwe.Usihofu bana [emoji123] Mimi nami nimefanya utafiti wangu nimegundua wala kiti moto maarufu ukikaa nao darasani HUWASHINDI KWA AKILI [emoji123] ref; Wahaya, Wachaga, Wanyakyusa, na wenyewe shule za seminary za Wakatoliki wanaongoza. Kwa ushindi [emoji106] nenda sasa mikoa ambayo huyo mdudu amepigwa ban utahakikisha utafiti wangu [emoji4]