Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

Kwanini kuna wakati ilitangazwa hivyo hapa nchini then serikali ikatoa tangazo ambalo liko ndani ya pharmacies zote from TFDA na wame-display (walipiga photocopy magazeti) ili ukiwa na doubt wanakuonesha kuwa hazina madhara. Kwanini? Kwanini jamani??
Mkuu hawa wafanyanyabiashara watatumaliza kwa tamaa zao za fedha!
 
RADIO DORTCH VELLE YA MJINI KOLON UJERUMANI JANA ILITANGAZA DAWA ZA DICLOPA NA DICLOPHENAC KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU IMEGUNDULIKA VIDONGE HIVYO HUSABABISHA KANSA YA INI NA UBONGO, UGONJWA WA MOYO, KIHARUSI, VIDONDA VYA TUMBO AU KIFO CHA GHAFLA, waokoe kwa KUWATUMIA sms hii UWAPENDAO.wasitumie vidonge hivyo, pia na wewe usitumie

TAHADHARI: Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!



Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya binadamu, Imegundulika Vidonge hivyo husababisha kansa ya Ini na Ubongo,Ugonjwa wa moyo, Kiharusi, Vidonda vya Tumbo au kifo cha ghafla.

Chanzo: Radio Dutch Velle

hili ni janga la kidunia
 
Hii hatari sasa.... Kwanza mimi nikizitumia hizo dawa huwa hazinisaidii hata kidogo. Labda Paracentamol kidogo. Lakini tusizoee sana kutumia haya madawa ya kutuliza maumivu. Maana kuna watu hata akichoka tu utakuta anatumia hayo madawa.
 
Back
Top Bottom