Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

Kwanini kuna wakati ilitangazwa hivyo hapa nchini then serikali ikatoa tangazo ambalo liko ndani ya pharmacies zote from TFDA na wame-display (walipiga photocopy magazeti) ili ukiwa na doubt wanakuonesha kuwa hazina madhara. Kwanini? Kwanini jamani??
Mkuu hawa wafanyanyabiashara watatumaliza kwa tamaa zao za fedha!
 

hili ni janga la kidunia
 
Hii hatari sasa.... Kwanza mimi nikizitumia hizo dawa huwa hazinisaidii hata kidogo. Labda Paracentamol kidogo. Lakini tusizoee sana kutumia haya madawa ya kutuliza maumivu. Maana kuna watu hata akichoka tu utakuta anatumia hayo madawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…