Habari mbaya kwa wale wanaotumia dawa za sumu za kizungu diclopa na diclophenac

Dawa za Diclopar na Diclophenac ziko madukani ila matangazo yalitoka mawili moja likikataza la pili likiruhusu kama hukuelewa!

Sasa tufuate tangazo lipi Kati ya haya mawili? Hapa tuko gizani na tutakufa kama kuku. Serikali itoe tamko rasmi kuhusiana na haya madawa maana sasa mtu ataogopa kutumia dawa hizi za kizungu anapokuwa ameugua akihofia kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…