Habari mbaya kwa waliokosa mkopo.

Habari mbaya kwa waliokosa mkopo.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Kwa wale vijana walokosa mkopo,bodi wamesema hawana pesa tena,so ndo imekula kwao mazima.source,channel ten.

Pesa ipo ww, wale si politicians tu! vijana watakata rufaa.

hiyo pesa umeiona. Umeshaambiwa hakuna hela.

acha kuwakatisha tamaa wenzako pesa ipo kwani hela ya kuongeza kweny wizara ya uchukuzi ilitoka wap?

Poleni sana vijana..HESLB haina pesa tena, siyo kama enzi zetu zile...naona banks (nmb,nbc,crdb n.k) nazo zingejitolea kuwakopesha wanafunzi..kwani serikali ya Jk imefulia,.

Hamna bana, mi nakumbuka miaka yetu kwel hakukuwa na masiala kama haya, 2likuwa 2kitaka mikopo kwel 2natimuka sa cjui miaka hii madogo wamepoza sana, last nakumbuka mwaka 2008 ndo 2ligoma vyuo vitano 2kapigwa total ban ya migomo had 2kamaliza bt madogo nawaonea huruma sana watapata elimu ya juu kwel ngoja 2subir tuone.

acha kuwakatisha tamaa wenzako pesa ipo kwani hela ya kuongeza kweny wizara ya uchukuzi ilitoka wap?

siwakatishi tamaa. We ndio unawadanganya badala ya kuwaambia ukweli.

dah inaskitisha sana hasa kwa watto wa wakulima..................huh

kweli maskini ataendelea kuwa maskini kwa hali hii...

Kwa wale vijana walokosa mkopo,bodi wamesema hawana pesa tena,so ndo imekula kwao mazima.source,channel ten.

Sasa iko wapi elimu bora,,, pumbafuuuuuuuu ama kweli hiii serikali ni usaniii mtupuuu, nimekosa mkopo mkuu sasa inabidi nirudi kisiwani niaendelee kuvua dagaa na mjomba wangu kama nilivyokuwa nafanya kabla sijaomba maombi ya chuo,, duuuu ama kweli umaskini mbaya sana..

Back
Top Bottom