Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Nauliza tu hiyo nyumba iliyoungua huko Eeatu mkoani Simiyu ni mali ya binafsi ya mkurugenzi au ni nyumba ya serikali?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wow! That's interesting[emoji848]
 
Nauliza tu hiyo nyumba iliyoungua huko meatu mkoani Simiyu ni mali ya binafsi ya mkurugenzi au ni nyumba ya serikali?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani huyo mkurugenzi amekufa?
 
Mods mbona Uzi huu hamuunganishi na Uzi husika? Huu ni upendeleo wa wazi kwani wengine mnawaunganisha wakati kilichomo kwenye Uzi ni tofauti.
 
Akili fupi hata kuandika hujui

Akili yako fupi kuliko maelezo. Ndiyo maana hata huwezi kutofautisha typo wala kiherehere cha Android kutofahamu kuna lugha inaitwa kiswahili.

Lugha ambayo bila hiyo jiwe angekuwa anaongea kisukuma peke yake.

Uzuri ni kuwa cha moto lazima kiwahusu!


Na hiyo ndiyo habari yenyewe. Kwani Ousama alitengenezwa je?
 
Mods mbona Uzi huu hamuunganishi na Uzi husika? Huu ni upendeleo wa wazi kwani wengine mnaeaunganisha wakati kilichomo kwenye Uzi ni tofauti.
Hii ni mada tofauti bwashee japo tukio ni lile lile, usinune.

Nakutakia Dominica yenye baraka!
 
Hii ni mada tofauti bwashee japo tukio ni lile lile, usinune.

Nakutakia Dominica yenye baraka!
Hii si mada hili ni swali, unaandika kisha haujui ulichoandika? What a great thinker are you!
Mods ondoeni naona analazimisha mjadala kwenye swali alilouliza.
 
Hii si mada hili ni swali, unaandika kisha haujui ulichoandika? What a great thinker are you!
Mods ondoeni naona analazimisha mjadala kwenye swali alilouliza.
Hahahaaaa..... Tumesikia kilio chako mnyasa.

Mlibwanji?!!
 
T Tunakoelekea ni kubaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…