Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Ni upuuzi kufurahia hili jambo kwa tofauti za kisiasa.
Wngine huchekelwa hata misiba. Tabia mbaya sana hii.
Hap waliofanya hicho kitendo wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake
Huyo mkurugenzi ni mbogamboga?
 
Lissu akiongelea maridhiano, kuna watu wanambeza, wacha tufike wanakotaka tufike.
Hata familia zinapokuwa na mtafaruku wanafamilia hukaa na kuzungumza. Ni wajibu wa serikali kukaa na wapinzani meza moja na kuzungumza nao kwa heshima. Waswahili wanasema ukiniheshimu nitakuheshimu.

Sijui kwa nini waafrika bado tunaamini kwenye kutumia nguvu ikiwa namba moja bunduki na mabomu. Sitaki kuamini maneno ya yule mkaburu, Botha - S. Afrika. Alisema "waafrika ukiwapa bunduki za kujilinda wanauana wenyewe kwa wenyewe, hawa si watu bali ni mfano wa watu" Samahani wadau najisikia aibu kuandika maneno haya, lakini nimevumilia toka 1995 mpaka leo naona hatujaweza ku-prov kuwa alikuwa wrong.
 
Ichomwe na wapenda madaraka wasiokubali kushindwa. Wakishindwa wanaenda kushitaki kwa wazungu. AIBU AIBU AIBU. Midume mizima na midevu inaenda kusemelea eti!
Tumeshasema humu Kuna chama kina vimelea vya ugaidi wenguine wanabisha humu...
 
Haya yameanza awamu ya Tano

Haiba yake, staili yake ya uongozi na maelekezo yake yamejenga uhasama na chuki kwenye jamii.
 
Acheni ujinga. Waliofanya huo ujinga watapatikana na kushugulikiwa.

Hata wakipatikana ujumbe kuwa watu wamechoka dhuluma umefika, na hizo ni dalili za awali. Na je waliomshambulia Lisu watapatikana lini, au hao ni kweli waliaagizwa na huyo anayemtuhumu?
 
Hata wakipatikana ujumbe kuwa watu wamechoka dhuluma umefika, na hizo ni dalili za awali. Na je waliomshambulia Lisu watapatikana lini, au hao ni kweli waliaagizwa na huyo anayemtuhumu?
Issue ya Lissu ni kitendawili. Shahidi namba moja wa KUTOA maelezo chadema wamemficha. Unataka polisi wafanyeje?
 
Lissu akiongelea maridhiano, kuna watu wanambeza, wacha tufike wanakotaka tufike.
Maridhiano!
 
Lissu akiongelea maridhiano, kuna watu wanambeza, wacha tufike wanakotaka tufike.
Kwani wewe umeshajua huo moto umetokana na nini au wewe umeshiriki katika uchomaji moto huo. Nafikiri Polisi waanzie upelelezi kwako!!
 
Back
Top Bottom