Unataka ulifatilie hilo soko ulifanyaje?Soko gani? Lipo Kijiji gani? Elezea kwa urefu ili tuifuatilie. Kwanini Wanafanya hivyo?
Polisi si ndiyo waliosimamia wizi wa kura?Nimeshuhudia Kijiji kimoja mkoani Rukwa watu wamegawana soko dogo pale Kijijini. Kulia wànauza na kununua CCM peke yao, Kushoto CHADEMA na ACT. Naungana na wewe kuwaomba Polisi kwa kutumia falsafa yao ya polisi jamii warejeshe umoja na utangamano miongoni mwa Watanzania maana wengine wanajali madaraka tu.
Haijalishi, lakini wataendelea kulipiza bila kuogopa mkono wa sheria.Acheni ujinga. Waliofanya huo ujinga watapatikana na kushugulikiwa
I see a very bright picture of what you commented just a few days ago.Passive Aggressive Tanzanians: Farmers by day, soldiers by night.
Niongezee ushahidi, mimi sifanyi biashara na m ccm yeyote.Kizumbi Tarafa ya Wampembe.
Malidhiano ya maandamano yasiyo na kikomo au maridhiano gani kasema?Lissu akiongelea maridhiano, kuna watu wanambeza, wacha tufike wanakotaka tufike.
Wamkolimbe, huyo baba yao atamrejeshea uhai.Atalipwa tu huyo nyumba nyingine mpyaa, maana amefanya vizuri sana kazi ya baba ake
Wamkolimbe, huyo baba yao atamrejeshea uhai.
Na kule Wananchi baada ya kudhulumiwa diwani waliyemtaka akatangazwa wa bandia wananchi wameamua kujitenga.Niongezee ushahidi, mimi sifanyi biashara na m ccm yeyote.
Ukipanda bangi utavuna bangi.Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo.
Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani.
MY TAKE:
Polisi ifanye jitihaza za kuleta Utulivu Nchini sababu nchi yetu ni kisiwa cha Amani. Iwachukulie hatua wote waliohusika.
Nimeshuhudia Kijiji kimoja mkoani Rukwa watu wamegawana soko dogo pale Kijijini. Kulia wànauza na kununua CCM peke yao, Kushoto CHADEMA na ACT.
Naungana na wewe kuwaomba Polisi kwa kutumia falsafa yao ya polisi jamii warejeshe umoja na utangamano miongoni mwa Watanzania maana wengine wanajali madaraka tu.
We have hawk to catch "cobra" in a day and we have owl to catch "destructive rats and rodent" by night. Now, it is time to release these "birds" from the cage!Passive Aggressive Tanzanians: Farmers by day, soldiers by night.
Hakuwahi kusema hilo neno hata kbla hajapigwa risasi, sasa iweje baada ya kushindwa ndo atake maridhiano?Lissu akiongelea maridhiano, kuna watu wanambeza, wacha tufike wanakotaka tufike.
Kuna Mkurugenzi ambaye sio Mbogamboga?Huyo mkurugenzi ni mbogamboga?
Pengine ni yeye amechoma mwenyewe kwa malengo maalum? Inawezekana kabisa. Inatakiwa uchunguzi huru ufanywe kwanza. Uchunguzi usihusishe polisi-CCM kwani historia inaonyesha hawaaminiki.Acheni ujinga. Waliofanya huo ujinga watapatikana na kushugulikiwa.
Atakuwa amechoma mwenyewe kwa malengo maalum?Kuna Mkurugenzi ambaye sio Mbogamboga?
Hukumbuki alisema wao hawatalipiza kisasi na hata Mbowe aliwahi ongelea swala la maridhiano kama moja ya agenda ya chama chao?Hakuwahi kusema hilo neno hata kbla hajapigwa risasi, sasa iweje baada ya kushindwa ndo atake maridhiano?
Yeye apambane kwanza mpaka akijifunza kuheshim viongozi na kuwa na kauli nzuri kwenye mazungumzo yake.
Na akubali kuwa magufuli ni raisi halali.