Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Polisi wanaendelea na uchunguzi lakini raia tayari mmeshamaliza uchunguzi na kuthibitisha kuwa nyumba imechomwa kwa hujuma.
 
Ni case rahisi sana kupeleleza na wahusika kujulikana kama ni hujuma. Tusubiri uchunguzi.
 
Huyo Manoza aliwahi kuwa mwalimu shule niliyosoma advance yeye akifundisha masomo ya sanaa mimi nikikomaa na kukremu
 
Ila kusema ukweli, extremism ikitokea Tanzania na haina budi kutokea, sababu zake ziko wazi. Wizi na kukataa maoni ya watu si wote watakubali na kuendelea na maisha. Wengine watatafuta namna ya kuonesha hisia zao. Huenda nyumba na mali kuharibiwa kuna mahusiano na masuala ya uchaguzi.
 
Jamaa nasikia leo wakati wa tukio alikua tour na wasimamizi wa uchuguzi akiwapongeza
 
Nasema nimefurahishwa sana na habari hii.wangemuua
 
Bad story at all - pole zake, washukuru wamepona adha ya moto kwenye miili yao
 
"Ukisuka suka maziwa utapata siagi na mtindi" .....haya basi hayo ndiyo matokeo ya upumbavu alioufanya tr 28 Oct, 2020.
 
Mungu ana tufundisha kuwapenda maadui zetu lakini wengine kama wakurugenzi Mungu atusamehe kwa kuwa hata kupewa Pole hawasitahili kwa majanga wanayoyapata zaidi ya kusema wanavuna wanachopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…