Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

Lissu akiongelea maridhiano, kuna watu wanambeza, wacha tufike wanakotaka tufike.
Maridhiano ya nini na nani, mnatia huruma ili mpunguziwe kibano na JPM ama?

Nyumba kuungua uwa inatokea ni ajali kama ajali zingine aliyopata Rejia Mtema au Chacha Wangwe.
 
Ukiwaziba binadamu midomo watapata njia nyingine ya kuwasiliana. Wakianza kuongea kwa njia nyingine usilalamike.
Hizi ndio mambo CHADEMA wanafurahia, wakisikia vurugu roho wao kwatu, wakisikia kuna watanzania wamepata matatizo Mtwara huko kwa kuuliwa wao roho kwatu, wakisikia MKIRU wenyekiti wa vijiji wameuliwa wao roho kwatu, huu upambuvu ni kuendelea kuushughulikia bila huruma, Tz inahitaji vyama mbadala ila sio wapinga maendeleo.
 
Hata mimi pia nilimshangaa Lissu alipoongelea maridhiano. Maridhiano na wezi! Wananchi waendelee kuwaadabisha hawa wezi hivi hivi. Tena wange-target jizi kuu, baba lao ingependeza. Walizamishie shaba mwilini liusikie uchungu.
Akuna kufanya maridhiano na vibaraka ni kupiga spana,JPM azidishe kupiga spana vibaraka mpaka waombe poo.
 
Akuna kufanya maridhiano na vibaraka ni kupiga spana,JPM azidishe kupiga spana vibaraka mpaka waombe poo.

Vibaraka wanaendeleza shughuli na njiti zao ndani ya vi box sawa na huyo mwizi wa kura anavyopiga spana
 
Haijalishi, lakini wataendelea kulipiza bila kuogopa mkono wa sheria.

wengine wanaofanya hayo ni hao hao polisi mliowatumia. Wengi wamelazimishwa kazi sio yao kikatiba na kisheria na hawapendi
 
Ni upuuzi kufurahia hili jambo kwa tofauti za kisiasa.
Wngine huchekelwa hata misiba. Tabia mbaya sana hii.
Hap waliofanya hicho kitendo wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake


Na lini watakamatwa wale waliouwa wapinzani au waliowaweka ndani wapinzani mpaka leo bila kuwafikisha mahakamani ??
 
Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo.

Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani.

MY TAKE:
Polisi ifanye jitihaza za kuleta Utulivu Nchini sababu nchi yetu ni kisiwa cha Amani. Iwachukulie hatua wote waliohusika.

HABARI ZAIDI;

RPC wa Simiyu, ACP Richard Abwao amesema kwenye nyumba alikuwepo mdogo wake na Mkurugenzi Fabian Manonza ndiye aliona moshi ndani na kibaya zaidi gesi nayo ikalipuka.

Mdogo wake na Mkurugenzi ndiye alitoa taarifa kwa askari Polisi waliokuwa kwa Mkuu wa Wilaya.

Kulikuwa na gari karibu na ukuta ambao ulikuwa unawaka moto, Polisi walichukua maamuzi ya kuvunja kioo ili kuondoa handbrake ya gari ,bahati nzuri ufunguo ukapatikana na kuiokoa gari.

Nyumba yote imeteketea na moto. Timu ya Polisi na jeshi la Zimamoto na uokoaji na TANESCO wanaendelea na uchunguzi ili kujua chanzo cha moto huo.

RPC amesema ni mapema kulihusisha tukio hilo na mambo mengine.
DED ANAITWA FABIAN MANOZA.

Mkurugenzi Fabian Manonza amenukuliwa akisema kuna hujuma sababu inaonekana petrol ilimwagwa kabla ya nyumba kuchomwa. Yeye hakuwepo muda huo nyumba inachomwa.
Safi sana, haya ndio maisha baada ya uchaguzi, Demogasia ni maendeleo sio fujo, mmesikia nyie maccm mnaochuma nyumba za watu.
 
Maridhiano ya nini na nani, mnatia huruma ili mpunguziwe kibano na JPM ama?

Nyumba kuungua uwa inatokea ni ajali kama ajali zingine aliyopata Rejia Mtema au Chacha Wangwe.

Na zitatokea ajali nyingi mwaka huu
 
Soko gani? Lipo Kijiji gani? Elezea kwa urefu ili tuifuatilie. Kwanini Wanafanya hivyo?
Kwa sababu maendeleo hayana chama, lakini si sahihi kushikiriki kukuza uchumi wa mwananccm maana faida wanazopata wanaenda kuzitumia kwenye matendo haramu.
 
Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo.

Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani.

MY TAKE:
Polisi ifanye jitihaza za kuleta Utulivu Nchini sababu nchi yetu ni kisiwa cha Amani. Iwachukulie hatua wote waliohusika.

HABARI ZAIDI;

RPC wa Simiyu, ACP Richard Abwao amesema kwenye nyumba alikuwepo mdogo wake na Mkurugenzi Fabian Manonza ndiye aliona moshi ndani na kibaya zaidi gesi nayo ikalipuka.

Mdogo wake na Mkurugenzi ndiye alitoa taarifa kwa askari Polisi waliokuwa kwa Mkuu wa Wilaya.

Kulikuwa na gari karibu na ukuta ambao ulikuwa unawaka moto, Polisi walichukua maamuzi ya kuvunja kioo ili kuondoa handbrake ya gari ,bahati nzuri ufunguo ukapatikana na kuiokoa gari.

Nyumba yote imeteketea na moto. Timu ya Polisi na jeshi la Zimamoto na uokoaji na TANESCO wanaendelea na uchunguzi ili kujua chanzo cha moto huo.

RPC amesema ni mapema kulihusisha tukio hilo na mambo mengine.
DED ANAITWA FABIAN MANOZA.

Mkurugenzi Fabian Manonza amenukuliwa akisema kuna hujuma sababu inaonekana petrol ilimwagwa kabla ya nyumba kuchomwa. Yeye hakuwepo muda huo nyumba inachomwa.
Kwa mtindo huu ninamashaka sana, huu ndo mwanzo wa amani yetu kutokomea kamwe tusikubali
 
Back
Top Bottom