Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

LET IT BE... Hakuna shetani anayependa watu waharibikiwe kama CCM
 
Huyu bila kumhamisha usalama wake upo hatarini, Kwanza siku moja baada ya uchaguzi walimteka, issue ni haki za uchaguzi tu hazikutendeka
 
Itakuwa ajali tu ya kawaida.tuache kuhisi vinginevyo,uchunguzi ufanyike kwanza.
 
Taarifa nilizozipata mdogo wake na Mkurugenzi aliyechomewa nyumba kafariki jioni baada ya kufikishwa hospitality.Nipo meatu Sasa hv
 
Hawawezi kutufanya sisi hamnazo. Waitishe uchaguzi, watu wazunguke nchi miezi 2 wakati wana matokeo mfukoni!
 
....Unakamata huyu leo,kesho linaibuka tukio lingine tena baya zaidi na chanzo huwa ni kukoskana kwa haki.
Watatumia huu mwanya kubambikizia watu tuhuma na kesi za uongo, watazidisha chuki, matokeo YATAKUWA mabaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…