Habari mbaya sana kwa waliotegemea Yanga kupoteza mchezo dhidi ya Singida Big stars.

Uzi bila picha ni BATILI.
 
Tangu lini yanga akafungwa na yanga b,hakuna mtu alikuwa na wazo wa yanga kufungwa leo.
 
Reactions: Tui
Hakuna aliyetegemea ni akili yako tu.
Usitarajie Singida wakamdindia yanga hata ikibidi washuke daraja.

Sinema zetu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wengine wanakwambia mechi fixing kisa magoli yalifungwa haraka! Wqmesahau zile Saba za horoya nazo ilikuwa match fixing?
 
Hakuna aliyetegemea ni akili yako tu.
Usitarajie Singida wakamdindia yanga hata ikibidi washuke daraja.

Sinema zetu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ft= simba 7- Horoya 0
Ft= Horoya 1- Simba 0
Sinema zetu?
Andaa timu chezeni mpira acheni kujipa ukubwa msistahili
Kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…