NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Wanasema wamezima tvWazee wa kufa kiume mko wapi[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema wamezima tvWazee wa kufa kiume mko wapi[emoji23][emoji23]
Tunawasubiri FA
Uzi bila picha ni BATILI.Kuna kikundi Cha wahuni (waliokufa kiume) walizani kuwa yanga itadondosha pointi kizembe mwisho wa siku matumaini yao yamegeuka imekua ndivyo sivyo.
Prof wa mpira Nabbi kaingiza full mkoko kikosi Cha ushindi na ubingwa makolo wasahau.
Yanga is unstoppable.
Hakuna aliyetegemea ni akili yako tu.Kuna kikundi Cha wahuni (waliokufa kiume) walizani kuwa yanga itadondosha pointi kizembe mwisho wa siku matumaini yao yamegeuka imekua ndivyo sivyo.
Prof wa mpira Nabbi kaingiza full mkoko kikosi Cha ushindi na ubingwa makolo wasahau.
Yanga is unstoppable.
Sema moooooooooooooo........ Ikisikia tanzania naitika kama gombe naelewaSasa nani alisema mtashindwa? Mnaanzaje kushindwa sasa kwa hao mamluki wenu
Kuna wengine wanakwambia mechi fixing kisa magoli yalifungwa haraka! Wqmesahau zile Saba za horoya nazo ilikuwa match fixing?Kuna kikundi Cha wahuni (waliokufa kiume) walizani kuwa yanga itadondosha pointi kizembe mwisho wa siku matumaini yao yamegeuka imekua ndivyo sivyo.
Prof wa mpira Nabbi kaingiza full mkoko kikosi Cha ushindi na ubingwa makolo wasahau.
Yanga is unstoppable.
Ft= simba 7- Horoya 0Hakuna aliyetegemea ni akili yako tu.
Usitarajie Singida wakamdindia yanga hata ikibidi washuke daraja.
Sinema zetu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Halafu safari ikaishia wapi. HaaahaaaFt= simba 7- Horoya 0
Ft= Horoya 1- Simba 0
Sinema zetu?
Andaa timu chezeni mpira acheni kujipa ukubwa msistahili
Kenge
Wakatolewa kiume. Wanakuambia conf cup ni mombe dogo wakati walitaka kuchoma uwanja kwa kufukiza kule kwa MmadibaHalafu safari ikaishia wapi. Haaahaaa
Ila namungo tu ndiyo wanamdindia Simba.Hakuna aliyetegemea ni akili yako tu.
Usitarajie Singida wakamdindia yanga hata ikibidi washuke daraja.
Sinema zetu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Waleteee waleteeKwa jinsi unavyoipambania simba hapa jukwaani aisee wakupe maua yako dada.
Mimi presha yangu haijafikia ile yenu kwa miaka 4 ilopita
Mbona mamluki wenu Namungo hamkuwafunga jana!!??Sasa nani alisema mtashindwa? Mnaanzaje kushindwa sasa kwa hao mamluki wenu
Ndo mjue sio mamluki 🙂Mbona mamluki wenu Namungo hamkuwafunga jana!!??
Mtaongea sana aisee.Singida walikuwa wanatekeleza maagizo ya Mwiguru.
Watupe tuanze kulizoea
Wapo futi sita chini ardhiniWazee wa kufa kiume mko wapi😂😂
Watu wanataka usipaliwe bia ukinywa na hasira lazima ikupalie tu.Nipe biaaa nyie Yanga toka jana mnataka ninywe maji...