Habari mbaya sana kwa waliotegemea Yanga kupoteza mchezo dhidi ya Singida Big stars.

Haya makasiriko lazima upungue uzito
Sina maksiriko ndg kama nyie Yanga..mimi.24/7 nina amani na raha ya kutosha..yani kufunga kwa Yanga kunipe presha kweli? Bado sijafikia makasiriko yenu mliyoyapitia kwa miaka 20 ya CAF na miaka 4 ya ligi..
 
Reactions: Tui
Mnaanzisha thread na kujijibu.Leta thread ya wanasimba waliodai mtafungwa na Singida? Yaani ushindwe na kivuli chako?Yaani kivuli kikushinde. Mnajitia kidole na kukatika wenyewe.
 
Mmepigwa viwili na Inonga na Kibu D.Kila wakiamua kujaribu kusherekea wanakumbuka maumivu. Kile kipindi cha comedy kimeishia wapi?
 
Mnaanzisha thread na kujijibu.Leta thread ya wanasimba waliodai mtafungwa na Singida? Yaani ushindwe na kivuli chako?Yaani kivuli kikushinde. Mnajitia kidole na kukatika wenyewe.
Pole sana maana umeongea kwa makasiriko sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…