ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Napenda unavyo henyaSasa nani alisema mtashindwa? Mnaanzaje kushindwa sasa kwa hao mamluki wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda unavyo henyaSasa nani alisema mtashindwa? Mnaanzaje kushindwa sasa kwa hao mamluki wenu
UsinambieeNapenda unavyo henya
😆 😆 😆 😆Watu wanataka usipaliwe bia ukinywa na hasira lazima ikupalie tu.
Haya makasiriko lazima upungue uzitoUsinambiee
bahasha fcKuna kikundi Cha wahuni (waliokufa kiume) walizani kuwa yanga itadondosha pointi kizembe mwisho wa siku matumaini yao yamegeuka imekua ndivyo sivyo.
Prof wa mpira Nabbi kaingiza full mkoko kikosi Cha ushindi na ubingwa makolo wasahau.
Yanga is unstoppable.
Kimipango zaidi hongereni kwa kweli.
Sina maksiriko ndg kama nyie Yanga..mimi.24/7 nina amani na raha ya kutosha..yani kufunga kwa Yanga kunipe presha kweli? Bado sijafikia makasiriko yenu mliyoyapitia kwa miaka 20 ya CAF na miaka 4 ya ligi..Haya makasiriko lazima upungue uzito
Basi hata waarabu ni mamluki wetu🤸🤸Sasa nani alisema mtashindwa? Mnaanzaje kushindwa sasa kwa hao mamluki wenu
Hata Rivers nao tuliwapa bahasha [emoji16]bahasha fcView attachment 2610295
Pole sana maana umeongea kwa makasiriko sana.Mnaanzisha thread na kujijibu.Leta thread ya wanasimba waliodai mtafungwa na Singida? Yaani ushindwe na kivuli chako?Yaani kivuli kikushinde. Mnajitia kidole na kukatika wenyewe.