ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Matusi mkuu hayafai sio kwamba hata mm sijui kùtukana ila nimefunzwa kuheshimu kila mtu.Kwani ungesema tu bila tusi si ungeeleweka.NA HULAZIMISHWI KUMPENDA MTU ACHA WATU TUNAOMPENDA TUPAMBANE NA HALI ZETU WW KAA NA UJUAJI WAKO.Mapenzi ya kipumbavu, acha mawazo ya kisengeh hayo unayaita mapenzi? Serikal yako ndio imesababisha haya halafu wewe unaita mapenzi foolishness foolishly
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda haudanganyi ni vyema sana kusikia maonyo na kuchukua tahadhari. CCM Chanzo Cha MatatizoHasa Mimi All - Rounder Ndugu nilitukanwa na Kudhihakiwa sana pale nilipokuja na Uzi wangu hapa JF wa Kutahadharisha, Kuonya na Kushauri kuhusu hili.
Sasa kwakuwa yameshatokea labda Watatuheshimu na Kutuelewa kuanzia sasa badala ya kutuona kuwa tuna Chuki au tunatumika au ni Wapinzani wa CHADEMA.
Utakufa weweSi mnatabiri alafu yanatokea.
Nyie ni manabii.
Haya tuambieni leo dodoma watakufa wangapi?
Hasa Mimi All - Rounder Ndugu nilitukanwa na Kudhihakiwa sana pale nilipokuja na Uzi wangu hapa JF wa Kutahadharisha, Kuonya na Kushauri kuhusu hili.
Sasa kwakuwa yameshatokea labda Watatuheshimu na Kutuelewa kuanzia sasa badala ya kutuona kuwa tuna Chuki au tunatumika au ni Wapinzani wa CHADEMA.
Utakufa wewe
TANZIA
Habari za jioni Mates mwenzetu Mbasa Mtua amepata msiba mkubwa sana kwa kumpoteza mwanae mmoja watoto wa mdogo wake watatu na mtoto wa kaka yake mmoja baada ya kukanyagwa uwanja wa Taifa walipokwenda kumuaga JPM,na hadi sasa hawajui house girl yuko wapi,watoto waliongozana na mke wa mdogo wake,msiba uko kimara nyumbani kwao,tuwaombee wako kwenye wakati mgumu sana,mwenyezi mungu awapumzishe kwa Amani[emoji120]
Mnaumwa vichaa upendo gani wa kipumbavu je utaweza kurudisha maisha ya watanzania 45 waliokufaMatusi mkuu hayafai sio kwamba hata mm sijui kùtukana ila nimefunzwa kuheshimu kila mtu.Kwani ungesema tu bila tusi si ungeeleweka.NA HULAZIMISHWI KUMPENDA MTU ACHA WATU TUNAOMPENDA TUPAMBANE NA HALI ZETU WW KAA NA UJUAJI WAKO.
Inafaa jeshi la polisi waweke mikakati dhabiti kuzuia watu kufanya yao. Hio ndio kazi yao, mpeeni heshima huyo mzee jamaniHayo mambo ni ya kawaida kwenye mikusanyiko.walikufa watu maka itakuwa hapo uhuru?
So sad!
Hili nalo lawama ni kwa Magufuli au?
Nilitaka kushangaa Jiwe atakwenda peke yake!!!
Devil never go alone
[/QUO
Kwa chuki hii na mtazamo huu hasi ulokaa kichwani mwako,roho ya ki ibilisi inaishia moyoni mwako.Tufanye toba
Naona umeandika huku unacheka mpaka mdomo umefunguka mpaka sikioni...Jamani chukueni tahadhari sana.
Polisi Temeke wameripoti vifo 45 vilivyotokana na mkanyagano wa kutaka kuona mwili wa JPM.
Huo msongamano ni hatari, ukipona mkanyagano bado kuna COVID-19 a..k.a UVIKO-19 almaarufu korona.
Mmeonywa.
Aiseeee....tutatoboa tu gadamn it...hii nchi ina wachawi wengi sana.