Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Mapenzi ya kipumbavu, acha mawazo ya kisengeh hayo unayaita mapenzi? Serikal yako ndio imesababisha haya halafu wewe unaita mapenzi foolishness foolishly

Sent using Jamii Forums mobile app
Matusi mkuu hayafai sio kwamba hata mm sijui kùtukana ila nimefunzwa kuheshimu kila mtu.Kwani ungesema tu bila tusi si ungeeleweka.NA HULAZIMISHWI KUMPENDA MTU ACHA WATU TUNAOMPENDA TUPAMBANE NA HALI ZETU WW KAA NA UJUAJI WAKO.
 
[3/21, 19:04] Rco Temeke.: AFANDE DCI,N/DCI,ZCO ,RPC,OP.OFFICER.

HALI YA UHALIFU MKOA WA TEMEKE KWA SAA 12, ZILIZOPITA LEO TAREHE 21.03.2021 . TUKIO KUBWA LILILORIPOTIWA NI TAARIFA YA VIFO VIKIVYOTOKEA UHURU STADIUM-CHA/RB/2267/2021 NA KUSABABISHA MAJERUHI KADHAA.

AIDHA MAOMBOLEZO YA HAYATI DR.JOHN POMBE MAGUFULI NA SHUGHULI ZA KUAGA MWILI ZIMEKAMILIKA KATIKA UWANJA WA UHURU . MWILI ULIONDOLEWA NA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE WA JULIAS NYERERE TA YARI KWA SAFARI YA KUELEKEA DODOMA .WATU NI WENGI LAKINI PAMOJA NA ULINZI NA USALAMA KUIIMARISHWA KILA KONA ,NA VYOMBO VYOTE VYA ULINZI NA USALAMA,BADO KUMEJITOKEZA VIFO VILIVYOSABABISHWA NA MSONGAMANO NA KUKANYAGANA .WAMEKUFA WATU 45, KATI YAO WANAUME 11,AMBAPO MIONGONI MWAO KUNA WATU WAZIMA 6 NA WATOTO 5 .AIDHA WANAWAKE NI 34 AMBAPO KATI YAO WATOTO 2 NA WATU WAZIMA 32 .MAJERUHI KWA KUKANYAGANA NA KUKANDAMIZANA NA WANAENDELEA NA MATIBABU NI 32 AMBAPO 6 WAMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI .TAARIFA KWA KIREFU MBIONI NA UCHUNGUZI ZAIDI UNAENDELEA.
NAOMBA KUWASILISHA .
[3/21, 19:04] Rco Temeke.: Afande wenzetu wa Dodoma,Zanzibar, Mwanza na Geita wachukue hadhari mapema wenye mapenzi kwa hayati ni weengiiii sana na wanalazimisha kuuaga mwili wote .Wajadiliane mbinu bora ya kudhibiti umati kwenye msiba huu mzito kwa nchi .TOKA RCO TEMEKE.
 
Hasa Mimi All - Rounder Ndugu nilitukanwa na Kudhihakiwa sana pale nilipokuja na Uzi wangu hapa JF wa Kutahadharisha, Kuonya na Kushauri kuhusu hili.

Sasa kwakuwa yameshatokea labda Watatuheshimu na Kutuelewa kuanzia sasa badala ya kutuona kuwa tuna Chuki au tunatumika au ni Wapinzani wa CHADEMA.
Muda haudanganyi ni vyema sana kusikia maonyo na kuchukua tahadhari. CCM Chanzo Cha Matatizo
 
Hayo mambo ni ya kawaida kwenye mikusanyiko.walikufa watu maka itakuwa hapo uhuru?
Hasa Mimi All - Rounder Ndugu nilitukanwa na Kudhihakiwa sana pale nilipokuja na Uzi wangu hapa JF wa Kutahadharisha, Kuonya na Kushauri kuhusu hili.

Sasa kwakuwa yameshatokea labda Watatuheshimu na Kutuelewa kuanzia sasa badala ya kutuona kuwa tuna Chuki au tunatumika au ni Wapinzani wa CHADEMA.
 
TANZIA
Habari za jioni Mates mwenzetu Mbasa Mtua amepata msiba mkubwa sana kwa kumpoteza mwanae mmoja watoto wa mdogo wake watatu na mtoto wa kaka yake mmoja baada ya kukanyagwa uwanja wa Taifa walipokwenda kumuaga JPM,na hadi sasa hawajui house girl yuko wapi,watoto waliongozana na mke wa mdogo wake,msiba uko kimara nyumbani kwao,tuwaombee wako kwenye wakati mgumu sana,mwenyezi mungu awapumzishe kwa Amani[emoji120]

Huu ni ushamba, ushenzi na upuuzi uliopitiliza!

Unaanzaje kwenda na familia nzima (hasa watoto) kwenye kusanyiko la watu wengi kama hili?

Msitake kumpa Mungu kazi nyingine na kumsingizia shetani kwenye mambo yasiyo muhusu.

Pumzika salama Mzee Magufuli.
 
Hivi sahi huo msafara hapo Dodoma kuelekea uwanjani hivi hao watu wote wako nyuma wanakimbizana na magari ya kijeshi si hatari hio,, polisi vipi hawaweki mpangilio watu wakae kando ya barabara sio kufuata mwili wa Magu nyuma kwa wingi, wanafaa viboko hao, dah hawawapi nafasi askari jeshi kufanya kazi yao kiulaini. Vipi jirani zetu?
✌️
 
Matusi mkuu hayafai sio kwamba hata mm sijui kùtukana ila nimefunzwa kuheshimu kila mtu.Kwani ungesema tu bila tusi si ungeeleweka.NA HULAZIMISHWI KUMPENDA MTU ACHA WATU TUNAOMPENDA TUPAMBANE NA HALI ZETU WW KAA NA UJUAJI WAKO.
Mnaumwa vichaa upendo gani wa kipumbavu je utaweza kurudisha maisha ya watanzania 45 waliokufa
 
Jamani chukueni tahadhari sana.

Polisi Temeke wameripoti vifo 45 vilivyotokana na mkanyagano wa kutaka kuona mwili wa JPM.

Huo msongamano ni hatari, ukipona mkanyagano bado kuna COVID-19 a..k.a UVIKO-19 almaarufu korona.
Mmeonywa.
 
Naona umeandika huku unacheka mpaka mdomo umefunguka mpaka sikioni...
Mpe taarifa hizi binti wa sarungi pia...
 
Back
Top Bottom